Ulianza kumsikia kwenye wimbo ulioitwa Mapito ambao alishirikishwa na mwanadada Mwasiti
Huu ni wimbo wake mpya ambao naamini ni moja kati ya nyimbo kali za mwisho wa mwaka huu
Wimbo huu umetayarishwa na Ema The boy kijana mwingine mpya ambaye hadi sasa ameshaleta hit songs za kutosha kwenye masikio yetu
Tracks kama Sorry by Barnaba, Nashukuru umerudi na Upepo by Rachel, Mapito by Mwasiti, Me $ You by Ommy Dimpoz, Ushafahamu by Linah na Nyinginezo nyingi
Mkono wa Ema The Boy umefanya kazi hizo..

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi