Raisi wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete jana amekamilisha katika safari ya mwisho ya msanii wa filamu nchini Juma Kilowoko 'Sajuki'katika makabuli ya kisutu jijini Dar es salaam. Katika mazishi hayo yaliyofanyika muda wa saa saba yaliudhuliwa na viongozi mbalimbali, pamoja na wasanii wengine kutoka tasnia mbalimbali kuhakikisha wanakamilisha safari ya mwisho ya msanii huyo ambaye ameteseka kwa muda mrefu kutokana na maradhi ya uvimbe.
Hizi ni baadhi ya picha za wasanii na viongozi waliokuja kutembelea msibani wakati wa mazishi.
Yusufu Mlela
M2 akiwa na Selemani Barafu
Mh Zitto akipiga stori
Michuzi akiingia na raisi
Msanii Elieth akibebwa baada ya kuzimia
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi