Pata mashairi ya wimbo wake huo mpya, ambao tayari umeshaanza kushika kwenye redio mbalimbali na ujie jinsi kijana anavyojitahidi
Mashairi ya wimbo mpya wa Nash Disigner
INTRO- Ni nash designer today,E.M.A miss fay
I wont forget everyday
VERSE 1- Siwezi lalamika sana labda kwenye moto nimeokolewaa.....
Nafsi ilijuta na nafsi ililalamika (babyiiiiiiii)
Kiukweli ulinishika kwa mapenzi nilifadhaika
Lakini bado (nafsi inakwenda na kugota)
Japo nimekuweka kando (kuna neno nataka ropoka)

BRIGDE- FEZA
Umeondoka umempata mwingine aaaah....!!!
CHOROUS- Umenielewa (babyiii) baby umenielewa
Ume ume umenielewa (baby) baby umenielewa-2
VERSE 2- Hukujua kucheza na akili yangu,Ulipanga kuumiza moyo wangu
Niliomba dua huku moyo ukiugua,Nilikupenda lakini
hujajigundua
(Babyiiiiiii)
Sio kwamba mimi sikupendi ila naogopa tena mimi
utaniumiza(umenielewa)
Dua njema tulizopema kumbe zote kwetu zilikuwa nikizaa(Au
bado hujazielwa)

CHOROUS- Umenielewa (babyiii) baby umenielewa*
Ume ume umenielewa (baby) baby umenielewa *2*

VERSE 3- Nimekubali kwa hayo yote mpenzi yaliyotokea *
Hata ukisemwa sana basi mimi nimeshazoea *
Basi wee nenda na dua nzuri nakuombea *
Moyo umeachilia kwa yale yote yaliyotokea eeh*
Basi wee nenda na dua nzuri nakuombea eeeeh*
Moyo umeachilia kwa yale yalitokea eeeeh*
Babyiiii umenielewaaaaaaaaaa ooooh
Reapert chorous END (Pata picha zaidi )

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi