TANZANIA MUSIC P0WER ni Jumuia mpya ya
kiharakati iliyoingia rasmi katika kuokoa kizazi cha mziki wa bongo fleva
Tanzania,kwamara ya kwanza imeingia makubaliano na msanii wa bongo fleva Frenk
Lewis Katende Kivunike anayefahamika kwa jina la BUIBUI. TMP imeingia
makubaliano na Buibui baada ya kukiona kipaji chake na juhudi zake katika
kufanya kazi ya muziki wa kizazi kipya. TANZANIA MUSIC POWER inatambua uwepo wa vyombo vya habari na mchango wao katika
tasnia ya muziki,hivyo inawaomba wasanii, wanahabari na wadau wote wa muziki
kusaidia katika kuwainua wasanii ambao wamechangia kuuweka muziki wa Tanzania
ulipo sasa.
Historia ya Buibui ni ndefu sana toka alipo zaliwa mpaka sasa na muda si mrefu TANZANIA MUSIC POWER itatoa kitabu cha maisha ya BUIBUI kuanzia watu aliowahi kushirikiana nao na mpaka kudondoka katika tasnia ya muziki.
BUIBUI amerudi sasa na T.M.P inatarajia kutambulisha wimbo wake mpya ambao utaanza kurushwa hewani rasmi baada ya kumalizika kwa makubaliano ya mwisho na TMP.
Hivyo basi tunapenda kuchukua nafasi hii kuomba watanzania wote kumpokea BUIBUI,tunatanguliza shukrani za dhati kwa watanzania wote.
ahsanteni sana.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi