Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Michael Mlope 'Zola D' amesema hivi sasa yupo kwenye michakato ya mwisho katika kukamilisha video yake mpya ya Knockout, ambayo anafanya na kampuni yake ya Under Production.
Alisema kwamba filamu hiyo aliifanyia nchini ujerumani na hapa nchini, huku akimshirikisha mkongwe P Funk
Majani, wakati huo Audio ya video hiyo, aliifanyia katika studio ya Bongo Record. Katika moja ya Clip ya video yake, anasema anaonekana akipigana na mwanamuziki mwenzake ambaye anaishi nje, ingawa kwa sasa yupo hapa nchini Mad Ice.

No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi