Thursday, October 11, 2012

Raisi wa wa wasanii apata mtoto

Raisi wa shirikisho la Wasanii nchini TAFF, Simon Mwakifwamba amepata bahati ya kupata mtoto wa kike, ambaye amejifungua leo. Mama mtoto na mtoto wote wanaendelea vizuri, wakati huo wakiendelea kuangalia zaidi afya zao. Taarifa hii iwafikie wasanii wote wa filamu....

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi