.
Tuesday, October 2, 2012
Ebss sasa waingia kwenye mjumba
Show ya pili ya EBSS imeonyeshwa jana ITV. Washiriki walioingia 12 bora waliimba mbele ya majaji, na kwa mara nyingine tena walipata kusikia maoni ya majaji kuhusu uimbaji wao. Vilevile namba za kuwapigia kura washiriki hao zilitangazwa.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi