| (Dallas) |
amemnunua mwanamuziki Diamond kwa kumpa fedha za kwenda kurekodi wimbo mmoja pamoja na video ambayo inaelezea maisha yake ya mwanadada huyo ilikumponguza ukali wa machungu aliyokuwa nayo. Habari zikiwa bado za motomoto kutoka kwake mwenyewe Dallas, alisema video ya wimbo huo ambao kuna uwezekano ukaitwa Mapenzi sasa Basi, itafanyika nchi za Kiarabu.
Utamu zaidi unaeleza kwamba Dallas alimchukuwa Diamond hadi Dubai kwaajili yakuangalia Location huku akijinadi kwamba haiwezi kufanyiwa Coco Beach. Alizidi kueleza kwamba machungu ya moyo wake yote aliamua kuyamwaga katika wimbo huo, ambapo kila anpousikiliza unapopigwa basi anajikuta akilalamika na kusema 'Mimi mapenzi basi'.
![]() |
| (Jack Wolper ezi hizo akitanua na mali za Dallas) |
Wimbo huo hata hivyo bado haujaachiwa lakini wadau tayari wameshaweza kuusikiliza na kuutamani kuona hiyo video yaani, kwa jinsi wimbo huo ulivyokuwa dipu katika mapeniz huku kijana Naseeb Abdul 'Diamond' akisikitikia mapenzi kwa niaba ya Dallas.
Hizi ni baadhi ya picha ambazo zimefanyiwa Auddition ya video hiyo mpya.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi