Tuesday, October 16, 2012

Cpwaa na Ay watoa video ya kuhamasisha kupigiwa kura

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ambene Yesaya, pamoja na Cpwaa wametengeneza video maalum kwaajili ya kuomba kura katika tuzo za Channe O za Afrika kusini.
Cpwaa akitoa amelezo jinsi ya kuweza kufanikisha wasanii wa ndani ya nchi ya Tanzania kuibuka ushindi katika tuzo hizo mashuhuri Afrika.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi