anaamini kwamba pindi hisia hizo zinvyoanza kumpanda, basi hakuna wa kumzuia jambo ambalo.......
analifanya kwa uharisi ili kuweza kunogesha filamu. Aalizidi kusema kwamba, pindi kama ataigiza kama mtu aliyefumania basi lazima mwanaume ajipange ili kuweza kukabiri kwakuwa hajazoea kughushi hisia. Mwanadada huyo kwa hivi sasa yupo Location kwaajili ya filamu ya My Life, ambayo anaamini atazidi kuonyesha uwezo wake, pindi anapokuwa mbele ya Screen. Tafu yeye aliigiza na pia alitumika kama Director wa filamu hiyo.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi