Tuesday, October 16, 2012

Abrah aachia kazi mpya kutoka Bagamoyo

Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka pande za Bagamoyo, Abrah  anaomba kuungwa mkono kwenye kazi yake mpya ambayo ameitoa hivi karibuni akimshirikisha Nyemo ya Sitaweza. alisema atajitahidikila siku kutoa kazi nzuri na mpya ili kuweza kufika malengo, na kuweza kutoa burudani kwa watanzania ile wanayoitaka.


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi