Wednesday, September 12, 2012

Ujio wa filamu ya TATAKOA, yaja gumzo

Kampuni ya TUESDAY KIANGALA FILM & DISTRUBUTORS imeanza mikakati ya kutaka kuingiza sokoni  filamu ya TATAKOA,filamu ambayo haijawahi kutekea katika utengenezaji wake.   Filamu hii hakika ni miongoni mwa filamu ambazo zinaweza kuja kulitikisa jiji kutoka na madhali yake ikiwemo na  kisa ambacho hakikuwahi kuandikiwa kwenye filamu yoyote.
Ni filamu ambayo imeigiziwa katika msitu mpaka, na yenye maudhui ya kutisha kutoka na kisa cha Msichana ambaye nusu nyoka nusu jini kutoka kwenye utawala wa ajabu.


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi