| Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Bw. Neville Meena akizungumza
mara baada ya waandishi wa habari kumaliza maadamano yao ya Amani kutoa
ujumbe wao kwa jeshi la Polisi kutokana na kupoteza maisha kwa
mwandishi wa habari Marehemu Daudi Mwangosi aliyeuwawa katika vurugu
kati ya Polisi na Wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
katika kijiji cha Nyololo Mkoani Iringa hivi karibuni, Maandamano hayo
yalianzia katika ofisi za kituo cha Televisheni ya Chanel Ten ambako
marehemu alikuwa mwakilishi wake mkoani Iringa na kuishia katika viwanja
vya Jangwani jijini Dar es salaam leo asubuhi. | |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi