Mtoto wa Mwingizaji Nguli wa filamu nchini Stive Nyerere ambaye alizaliwa siku tatu zilizopita Waiton Stive Mangele ambaye ni mtoto wa Stive Mangele 'Stive Nyerere' jana alifariki dunia na kuzikwa katika makabuli ya Kinondoni Jijini Dar es salaam. Mtoto huyo ambaye aliishi kwa takribani siku tatu, alifariki asubuhi huku ikisadikiwa kwamba alishikwa na kwikwi ghafla na kusababisha kifo chake. Aidha msomamisa wa marehemu huyo alisema kwamba, siku mtoto huyo alipokuwa akizaliwa, ilibidi ufanyike upelesheni ili kuokoa maisha ya mama yake. Aidha Stive Nyerere mwenyewe anasema wakati msiba huo unatokea yeye alikuwa Dodoma kwenye Shangwe za Serengeti Fiesta.
| (Mr Kupa akiwa na mtoto wa kwanza wa Stive Nyerere Alex Stive) |
| Aunt Ezekiel akiwa na Shilole |
| Batuli,akiaga maiti |
| Wasanii wa Bongo Movie wakiweka shada la maua kwenye kabuli la Waiton, |
| Johari akiimba nyimbo za makabulini (Angali picha zaidi za watu walioudhulia) |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi