Wednesday, September 12, 2012

Kama ulikosa kucheka EBSS hebu jiliwaze kwa kicheko

Kama unakosa kuangalia EPIQ BONGO STAR SEARCH katika Tv yako kutokana na Ubize, basi sio mbaya sana kwani Blog yako ya Bongo Unit, inahakikisha inakupa kila uhondo ambao unaopatika huko. Hebu pata video hizi na uone kazi. Jamaa alikuwa hachoki
Kuna muda ilikuwa hivi
Ndoto haifagi,kuna watu hawa kubali kushindwa na wana nia ya kuzichukuwa fedha za EBSS 2012, ujue kitu gani wanafanya (Soma zaidi kwenye READ MORE)
Kazi iliendelea hivi, watu hawakubali kushinindwa

Unachezea fedha wewe? Hadi mazeze yamo


Wasnt Me?.....
Hapa kazi ilikuwepo!! Sijui alienda kuwahadithia nini wenzake? Kweli hii pwani.
 Endelea kuwa na Bongo Unit kwaajili ya EBSS 2012

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi