Kampuni ya filamu nchini ya Tueday Film,ambayo kwa sasa ameanzisha kampuni ya usambazaji ya Tuesday Distibutors, wameanza kazi ya kusambaza filamu ya Jumba la dhahabu kwa mtindo wa Cd. Mmiliki wa kampuni hiyo Tuesday Kiangala 'Mr Chuzi' amesemakampuni yake imeanza kazi na kila sehemu itapatikana ikiwa katika kiwango cha juu. Miongoni mwa wasanii waliibuka katika filamu hiyo, na wengine kupatamajina hadi sasa ni
 |
| Mzee Chilo |
 |
| Kojack |
 |
| Snura |
Na wengine wengi akiwemo Kitale
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi