Cameraman maarufu jijini Dar es salaamChidi, ambaye ndiye aliyekuwa mpiga picha wa Jerusalem na kupiga picha ya filamu ambayouzinduzi wake ulitikisa pale alipokuja Omotola, ni filamu ya Super Star ya Wema Sepetu. Juzi Camera man huyoalijikuta akiingiza mikononi mwa polisi baada ya kutoka Tanga kushoot filamu ya Single Mtambalike kwa madai kwamba anadaiwa milioni 14,ambazo alichukuwa ilikukamilisha kazi za watu. Jambo kama hilo wasanii wengi wamekuwa wakilalamika kwamba Macamera man wengi wamekuwa wakichukuwa fedha na hatmaye wakafanya kazi zingine bila ya kutoa maelezo ya kutosha.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi