Wednesday, September 12, 2012

Balozi wa Marekani nchini Libia auwawa

  
Balozi wa Marekani nchini Libia  J. Christophe, wangine watatu wamefariki dunia katika shambulio lilotokea jana kuamkia leo katika mji wa Baghazi nchini humo. Tukio hilo lilitokea pale waandamaji wa dini ya kiislamu walipofika maeneo hayo, na hatmaye mmojakati yao kurusha kombora na mwingine kupiga risasi ambayo inasadikiwa ndiyo iliyomuua kiongozi huyo.

 

 Watu wa Libia wakiwa katika tukio wakishangaa
Jengo likiendelea kupamba moto.
Tukio zima lilivyokea la kuungua kwa Balozi nchini Libia

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi