Mwanamuziki Pekee ambaye aliweza kujitangaza nje ya nchi ya Tanzania na kushirikiana na wanamuziki wakali kutoka nje Ambwene Yesaya maarufu kama Ay, jana alitembelea katika kampuni ya Tanzania Standard Newspaper (TSN) linalotengeneza magazeti ya HABARI LEO, HABARI LEO JUMAPILI na DAILY NEWS, na kufanyiwa mahojiana ya dakika kadhaa na mwandishi mkongwe wa gazeti hilo Beda Msimbe. Mwanamuziki huyo kwa hivi sasa anawania Tuzo tatu, katika Tuzo za Channel O Music Video Award 2012
akiwa kwenye sehemu 3,
Most Gifted Video of the Year. AY ft Romeo & Lamyia: Speak With Your
Body Most Gifted East African video of
the Year. AY ft Sauti Soul: I Don't Want to Be Alone Most gifted male video of
the year. AY ft Romeo & Lamyia: Speak With Your Body.
Ay akiwa na mwandishi Beda Msimbe
Akiwa na baadhi ya waandishi
Kwa picha zaidi bonyeza Read More (Uone alivyo show Love na waandishi la GWIJI LA HABARI TANZANIA
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi