Diamond amesema video hiyo anatarajia kufanyia sehemu mbalimbali, chini ya kampuni ya upigaji picha ambayo kwa sasa pia inajishughulisha na utengeneza wa video ya I View Media. Pia katika mchakato huo ambao watu mbalimbali walipatikana ambapo wanawake walipatikana 18 na wanaume 14, huku idadi kamili ambayo Diamond alihitaji kuwa ni wanaume kumi na wanawake kumi.
Hata hivyo msemaji na mtafutaji wa Models hao Rakii, amesema mchakato zaidi utaendelea huku akisaidiana na Martine Kadinda, pamoja na Ally RehmtullahRakii wa I-View media (Soma zaidi ili kupata uhondo uliokuwa huko)
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi