Mwanamuziki Sudi Bayo 'Mjukuu wa mr.Ebbo' anasema, mimi ndiye mrithi wa mr.Ebbo ila na shangaa kunyanganywa jina hilo na msanii ambaye alikuwa ni rafiki yangu toka zamani anaitwa tash nilimpokea toka arusha na kuwa nae ktk studio za Difatarity na baada ya kusaidiana mawazo kuandika naye myimbo ya chapia ila nashangaa hiyo nyimbo ilivotoka Tash akaanza dharau..............nakuanza kunipgia simu kunitukana baada ya kuhama studio za Difarity nakuhamia Shine records ndipo yalipoanza majungu, fitina na mengine mengi.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi