Thursday, August 30, 2012

Serengeti Fiesta 2012, ilivyowatoa jasho wasanii wa Bongo Movie

 
 Wasanii nyota wa filamu nchini, hivi majuzi kati waliweza kushusha Bonge la Burudani katika msimu mpya wa Serengeti Fiesta Mwaka 2012. Wasanii ambao walishusha Burudani kali ni Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Jb na wengine ambao kwa pamoja pia walikuwa wakimtafuta super Star wa mkoa huo. Tamasha hilo limeendelea kushika kasi katika mikoa mingine ambapo zoezi zima linaendeshwa na Clouds Media ambayo inamiliki Clouds Tv na Clouds Radio.
 Stories kidogo
 Hebu pata picha juu ya Wema mwana wa Sepetu na Stive Mangere a.k.a Stive Nyerere

 Hatman, Irene Uwoya na Shilole



No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi