Ommy Dimpoz afanya balaa Afrika Kusini kwenye Baadae.
Mkali wa kibao cha Nai nai ambaye sasa hivi anavuma na Baadae, Ommy Dimpoz kwa sasa yupo Afrika Kusini pamoja na Adam Juma wa Next Level akikamilisha video ya wimbo wake huo baada ya kushindikana kwenda kuufanyia Ulaya. Wimbo huo tayari wamesharusha kwenye mtandao baadhi ya maandalizi ya mwanzo.
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi