Tuesday, August 28, 2012

New Track; Kidogo- Ditto feat Mh Temba

Huu ni wimbo mpya wa Ditto a.k.a Lameck Ditto……….. Unaitwa KIDOGO amemshirikisha Mh Temba kutoka Wanaume Tmk.
ni wimbo mzuri sana. na unazidi kudhihirisha Talent ambayo Ditto anayo. umerekodiwa katika studio za sound craffters kwa prod Enrico na Mosse.
hope utaufurahia na utaupa support ya kutosha wimbo huu…



No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi