Mkali ambaye alifanya vizuri katika upande wa Kickboxer na baadaye kuhamia ndani ya Boxer na kukutana mara kwa mara na mtaalamu wa Boxer Cheka, juzi alitoa kipigo kizuri kwa majambazi ambao walikuwa wakimfuata katika baa ambapo alikuwa akipata kinywaji yeye na Mkewe Pendo ambaye naye ni Bingwa wa upande wa wanawake kwa upande wa KickBoxer, lakini ingawa walitaitiwa vibaya waliweza kuweka mambo awa kwa kujikwamua. Hiyo yote inapatikana kwenye filamu mpya ya BONGO MAFIA, ambayo inaandaliwa na kampuni ya Dotnata. Kampuni hiyo imeamua kuchukuwa matukio harisi na kuleta maana ya ngumi za Action, kwa kuwachukuwa wakali kama Mchumia Tumbo, Josephat Kaseba mkali wa Kickboxer na Pando.
Baadhi ya matukio kabla ya uvamizi katika filamu hiyo mpya ya BONGO MAFIA
Mbwebwe hazikosi kila sehemu, lakini adui anabaki kuwa adui
Pendo akionyesha uwezo wake halisi, kwakuwa yeye ni harisi katika masuala ya ngumi na mateke.
 |
| Yaani kila kitu kilivurugwa, ngumi juu ya ngumi |
Sio ngumi na warembo wapo kibao.
Pablo akiwa na baadhi ya wasanii wa kundi hilo wakipiga stori
Director naye alitoa maoni yake, kwenye filamu
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi