Saturday, August 25, 2012

Apex na Demu sio, Next level na Baaadae

Video mpya ya Tunda Man tayari imeshakamilika na karibuni inaingia tena sokoni kwa kuonyeshwa katika televisheni mbalimbali lakini kikubwa na cha kufurahisha kwamba, Mastaa wote wa Bongo Movie wametolewa na kuwekwa Izzo B hiyo yote ni kazi ya Pablo. wakati huo Adam Juma naye yupo mbioni kuachia video ya Baadaye ya Ommy Dimpoili kuhakikisha kwamba yeye ni mkali.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi