Monday, July 9, 2012

Wimbo wa wasanii kutoka Kigoma- Leka dutigite. Full Kilugha

1. MWASITI, BANANA ZORO, CHEGE, DIAMOND, ABDU KIBA, OMMY DIMPOZ, RECHO, LINEX, BABA LEVO, MAKOMANDO NA PITA MSECHU.
tafadhari tunaomba muutambulishe siku ya leo kama itawezena kwani redio zote watautambulisha kwa nzia saa saba mchana   Huu ni wimbo wameimba wasanii wa kigoma wote dhumuni na nia ya kutengeneza wimbo huu ni kuweka umoja wa watu wa kigoma na tanzania kwa ujumla.  pia watafanya show ndani ya kigoma wiki ijayo kwa ajili ya kusaidia wamafunzi na yatima ndani ya kigoma.



No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi