| Kundi la muziki wa kizazi kipya la TMK wanaume kesho alfajiri linatarajia kwenda nchini Kenya katika mji wa Mombasa katika matamasha mbalimbali yakayoanza kesho hiyo hiyo hadi juma pili. Kiongozi wa kundi hilo Saidi Fella alisema kwamba wasanii hao wakiongozwa na Chege na Temba pamoja na Dogo Aslay, Hassan Kumbi na Yp. pia aliongozwa kwa kusema katika matamasha hayo ambayo yatafanyika, ijumaa hiyo hiyo yatafanyika katika mji mdogo wa Vai, wakati siku ya juma mosi watakuwepo New Club Ivory Carnival, Club Form Seatfroant na Double Trouble Nite, wakati Jumapili watakuwepo katika ukumbi wa The Office wakati huo Mc wa tamsha atakuwa ni Mzazi Willym Tuva |
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi