Friday, July 13, 2012

Mr Simple; Nipo sokoni kwa filamu yoyote

Mwigizaji anayechipukia kwa kasi kutoka Nyumba ya Vipaji Tanzania 'THT' Mr Simple, inayorusha tamthiria ya 69 Record inayorushwa kwenye stesheni ya Clouds Tv.  Mr Simple amesema kwa sasa yupo huru katika kufanya kazi zake za filamu nje baada ya kugewa uhuru wa kufanya hivyo. Aidha alidai kwamba mwanzo alipohitajika alikuwa akikataa kutokana na muda ulikuwa bado wa yeye kuigiza nje ya 69 Record, lakini kwa sasa ameruhusiwa na yupo tayari kufanya kazi yoyote na mtu yoyote katika kundi lolote.

Mr Simple


No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi