Wednesday, July 4, 2012

Matt wa Uingereza kuwanoa T.H.T


Producer na ambaye ni mtaalamu wa kufanya master ya muziki Matt Nicholson  kutoka pande za Uingereza, amesema kwa sasa anahitaji kufanya mambo makubwa kwenye tasnia ya muziki huo hasa kuwafua wasanii wa kutoka Nyumba ya Vipaji Tanzania 'THT'. Matt  tayari alishasingiza mikono yake katika kutengeneza kazi za wasanii kibao, akiwemo Amini, Barnaba, Linex na tayari alishafanya kazi na maproducer kibao akiwemo Tudd Thomas na Lamar. Hata hivyo amesema zaidi ya kuwa mtaalamu zaidi katika masuara ya Mastaring, lakini pia mkali katika masuala ya kutengeza beat za aina zote.
Msami akichukuwa video, katika studi ya THT

Ditto akisikiliza nyimbo yake ambayo ilikuwa ikifanyiwa Mixer

Msami anasema hivi karibuni anakuja na kigongo kipya, ambacho kitakuja kufunika nyimbo zote.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi