|
Faridi Kubanda 'Fid Q' anasema hivi;Nitashukuru
sana kama mtaigeuza hii PROFILE PIC yenu..au hata kuipost kwenye kuta zenu..
endapo mtaona inafaa... narudia tena.. kama mtaona inafaa..! ni picha ambayo ya wimbo wake mpya ambao ameutoa hivi karibu akiwa amemshirikisha Vyonne Mwale wa Zambia ambaye kwa sasa yupo ndani ya jiji la Dar es salaam.
|
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi