| Golikipa wa wabung wa Simba na mbenge wa Kinondoni Iddi Azani na mchezaji wa timu ya Bongo Movie Seleman Barafu 'Barafu' wakiwa katika Hoteli ya Lamada pamoja na wasanii wenzao. Wasanii wa filamu 'Bongo Movie' walipata bahati ya kukakaa kambi ya hoteli moja na wabunge wa Simba, ambao wote katika nafasi zao walitwaa ubingwa katika mechi zao. Wasanii wa Bongo Movie wao ndiyo wa kwanza kuwadhibiti wasanii wa Bongo Fleva kwa bao 1 - 2. lakini kuonyesha kwamba kambi moja ndiyo kila kitu Wabunge Simba nao waliwatwaga Wabunge Yanga bao 3 - 2. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi