| Kidume kilivuka barabra na maji yake. |
| Akatafuta sehemu nzuri ya kufanya mambo yake. |
| Akavua viatu, kisha akamalizia na Tai huku akiangalia noma. |
| Kwenye suluari kidogo, alisita. |
| Lakini akapiga suluari chini kwa kuanza kazi. |
| Akafungua vidumu vyake vya maji. |
| Kisha akaanza kujimiminia huku watu wakishangaa |
| Hana habari, akamalizia na kidumu cha pili. |
| Kisha akaangalia noma, ili ajue njia ya kuondokea na chupi yake. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi