| Mwigizaji wa filmau Wema Sepetu alikuwa katika uzinduzi wa filamu yake ya Super Star, Logo yake pamoja na Blog ya Wema Sepetu. Hata hivyo katika eneo hilo halikukosa vituko na vitimbwi. Miongoni mwa vituko vuikubwa ni kukwaka kwa filamu ya Super Sta, ambayo ilikuwa iki Skrachi, na baadaye kupoteza sauti kabisa. Pia wasanii walikuja na mitindo mbalimbali ya mavazi, hebu angalia kisha uchanue mwenyewe. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi