Thursday, June 14, 2012

Maisha ni makazi


Kama kawaida yetu lazima tuonyeshe ni jinsi gani Watanzania tunavyoweza kutengeneza vya kwetu kwa mikono yetu na kutumia akili yetu. Sio kila mjengo basi ametengeza mchina au mzungu, lakini hata sisipia tuna uwezo wa hali ya juu ya kuandika na kujenga mijengo ya kisasa kama hii. Hengu angalia mjengo huu, uliobuniwa na  Graftcture Company....  Lazima tuwe wazalendo kwa kupenda vya kwetu,kuwa na nyumba ya kisasa sio kwamba ni tajiri sana ila ni kujipanga.

Kwa upande wa pembeni
Katika kauli ya kuwa na maisha bora, Makazi nalo limo ndani yake husasani nyumba ya kisasa

2 comments:

  1. BILA SHAKA HUU NI MSIKITI!! AISEE HUYU JAMAA NI MKARE NIPE CONTACT ZAKE NIMCHEKI KUNA APARTMENT HAPA INABIDI AZIFANYIE MICHORO YA KISASA!! NIMEMKUBALI SASA!!! BIG UP BRO NA ASANTE KWA KUTUFUMBUA MACHO!!!

    ReplyDelete
  2. Usijali mkubwa ni hii hapa namba yake, kwa yoyote atakayetamani mjengo na kutaka uhamie kwake twende wote kwa namba hii..0712032124 wanamwita Architecture Nyamonde. Bei nafuu... Tupende vya kwetu

    ReplyDelete

https://www.facebook.com/gomesamohamedi