| Filamu ya House Boy ambayo ameshiriki mwanadada Elizaberth Michael ' Lulu', Wema Sepetu na Kajala Masanja inatarajia kuingia sokoni hivi karibu. Filamu ya House Boy, pia inaelekea maisha ya kijana Libert, ambaye kichwa kichwa anavaana na Selemani Barafu. Ni filamu ambayo inazungumzia mapenzi, ambapo kijana Libert bila ya kutegemewa anajiona kama hana bahati kwa kuwana mikosi kwa kutokaa kwenye nyumba za watu na kubaki kama mtu ambaye anatafuta sehemu ya kuishi mitaani, lakini hayo yote yanatokana na mapenzi kuyaweka mbele ni bonge la Movie.... litafute ujue Wema, Lulu na Kajala walivyoweza kuweka ushindani. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi