| Mwanamuziki mdogo na aliyetamba na wimbo wa Anajua aliomshirikisha Tunda man, akiwa na kundi la Tip Top Connection chini ya kiongozi wa kundi hilo Madee, Dogo Janja amerudishwa kwao Arusha baada ya kushindana na Madee aliyekuwa akiishi naye, pia mwanamuziki huyo alikuwa ni mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya Makongo. Kwa heri Dogo Janja, watu wanasema safari moja huanzisha nyingine...... |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi