Tuesday, May 1, 2012

Sajuki anahitaji msaada zaidi

Mwigizaji wa filamu nchi Juma 'Sajuki'anahitaji msaada zaidi kwaajili ya kuokoa maisha yake yaliyokuwa kwenye wakati mgumu kutokana na maradhi anayougua. Wasanii pamoja na Watanzania wote, wameombwa hali yoyote mwenye uwezo basi, afikishemchango wake kupitia namba ya M Pesa 07621 89 592 ambayoni ya mkewe Wastara au kwa namba ya 050000003047. Unahitajika msaada wako kwa hali yoyote... Mungu msaidie Sanjuki