Wednesday, May 9, 2012

Maalim Sefu kuizindua filamu ya TOBA

Filamu ya TOBA ya Cloud 112, inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni kwa mtindo wa kipekee, kwa  kumuarika kiongozi wa juu jambo ambalo halikuwahi kufanywa na mtu yoyote. Cloud 112, alisema katika uzinduzi wa filamu hiyo aliyoifanya katika kisiwa cha Kigamboni, anatarajia itazinduliwa na  makamu wa kwanza wa raisi Zanzibar, Maalim Sefu Sharifu Hamad. Amesema filamu hiyo itazinduliwa rasmi  saa tatu usiku katika hoteli ya Bwawani, lakini shughuli nzima itaanza saa moja usiku 18 may mwaka huu.
Baadhi ya picha za filamu ya TOBA, ambapo Cloud 112 aliigiza kama Nasil hapa akiwa na Chiki Mchome