Saturday, May 5, 2012

Barafu awakumbukuka Lulu na Kajala kwenye filamu yake

Mwigizaji wa filamu Suleiman Brafu amesema filamu yake ya House Boy inatarajia kutoka hivi karibuni. Alisema kwamba filamu hiyo ambayo amewashirikisha Kajala, Lulu na Wema Sepetu, ni ya aina yake kutokana na mazingira ambayo wameigiza. Pia alisema hadi sasa wasanii wawili kwenye filamu hiyo wapo matatizo akiwemo Kajali ambaye yupo chini ya polisi na Lulu. Inasemekana Lulu aliigiza filamu hiyokatika mikakati ya kutafuta fedha za kukamilisha filamu yake ambayoinaeleza maisha yake na disko za usiku.
Suleiman Barafu akiwa na Libert