Wanamuziki Zola D pamoja na Mb Dog, wameendelea kusababisha katika nchi za Ulaya, wanamuziki hao wamesema wamepania kufanya show kali kila siku na kila mahali watakapo kwenda, "ASANTE FANS WOOTE WALIOKUJA KWENYE SHOW YA JUMA MOSI TH7, SHOW ILIKUA
NOMA SANA WATU WALIKUJA WENGI SANA NA KWA NGUVU ZA ALLAH SHOW ILIKWENDA
POA KILA MTU ALIKUWA NA FURAHA SANA SANKX TO ALL REAL FANS WETU WA
STUTTIGART GERMANY ASANTENI SANA KWA SURPORT NAWATAKIA GOOD EASTER.." haya ndiyomaneno aliyosema ZolaD
Hebu angalia mambo waliyokuwa wakifanya..... Balaaaaa