HALIMA
MDEE KUMSAIDIA LULU Mbunge wa kawe/Chadema Halima mdee yeye pamoja
Mbunge wa viti maalum Ester Bulaya (CCM) jana walienda kumuona Lulu, na
kwa wakati huu Mh Halima Mdee kupitia mtandao wa Tweeter anaendesha
kampeni ya Kuchangisha Pesa za malazi kwa ajili ya familia ya Lulu (mama
yake). Mh.Halima mdee amesema kwamba
lulu anahitaji mwanasheria makiniwa kuweza kumnasua kwenye kesi hiyo,
lakini pia anahitaji mwana saikolojia (psychological support) wa
kuzungumza nae ili aweze kuwa fresh kiakili. kwa wakati huu Lulu
anashikiliwa katika kituo cha polisi Oysterbay SOMA POST ZAKE Halima
J Mdee wenzangu. Leo mimi na mhe. Bulaya tulikwenda kumuona Lulu
oysterbay polisi. She really needs our support. Kwanza she is only 17..
Pili anahitaji sana psychological support. Nawaomba watu wenye taaluma
hiyo wasisite kwenda kumuona. wasiliana na 0714282527steve nyerere.
Tatu anahitaji wanasheria makini wa kumsaidia. Kwa yeyote ambaye yuko
tayari naomba awasiliane nami 0759569823.. Halima J Mdee @halimamdee
Nne,at that tender agendio alikuwa anategemewa na familia yake. Now yuko
ndani matatizo yamezidi kuwa makubwa. Kwa yeyote anayeguswa,naom ba
atume chochote kwenye namba hii 0754878890 ni namba ya m pesa ya mama
yake Tumsaidie huyu mtoto! Again ..Namba ya M -PESA kwa wanaotaka
msaidia Binti yetu Lulu+2557548788 90.Ni namba ya mama yake SOMA ZAID
KWENYE CHANZO@ SHAFFIH DAUDA.COM

Lulu