Sunday, April 1, 2012

Nichumu ya Bob Junior yaiva

Bob Junior anatarajia kuachia video ya wimbo mpya  wa Nichum ambayo unatarajiwa kuja kufanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya. Mmoja wa watengenezaji wa nyimbo ambaye ni Produce r Mahiri kutoka Fish Crub Rec, Lamer amesema wimbo hata yeye ameikubali kwakuwa ameshiriki katika kuitengeneza. Hata hivyo wimbo huo tayari umeshaanza kuingia katika midomo ya watu kutoka na gazeti moja kuandika habari kuhusiana na wimbo huo kutetea mashoga na wasagaji ,ambao kwa sasa Bongo Unit unaifuatilia kujua zaidi.

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi