Friday, April 27, 2012

Ferguson na Mcd kutambulishwa leo

Baada ya mpiga ngoma mahili wa Twanga Pepeta kuhamia bendi ya Mashujaa, sasa wamefanya utambulisho maalum kwa mwqanamuziki huyo siku ya ijumaa ya leo pale Business Park, Kijitonyama. Mwanamuziki mwingine ni Feguson ambaye amehama kutoka bendi ya Extra Bongo na kuhamia Mashujaa