| Hali ambayo haikutarajiwa kwa Watanzania wengi, leo asubuhi lile sanamu la Posta mpya karibu na Azania Benki inayojulikana kwa jina maarufu la Bismin, imekutwa imepindwa ile sime iliyokuwepo mbele ya mtutu alioushika. Hakika kila mmoja alijikuta akishangaa kutokana na hali hiyo, kwa kujiuliza maswali ambayo yamekosa majibu kwamba mtu huyo alitaka kung'oa kisu afanye chuma chakavu? Ni mbovu wa akili huyo mtu? au alilitaka sanamu aondoke nalo kwao? lakini majibu hayajapatikana bado. Hali inaonyesha wazi hata kuzuia kuvunjwa kwa viti vya uwanja wa taifa,itakuwa kazi ngumu kwakuwa elimu ya kutosha bado kwa watanzania wakiwemo na walinzi husika. |
No comments:
Post a Comment
https://www.facebook.com/gomesamohamedi