Wednesday, March 28, 2012

Kombe la UEFA

Ilikuwa nafasi ya kipekee kwa Watanzania kuudhulia na kulipokea miongoni mwa kombe kubwa la michuano mikubwa duniani yaani ligi ya mabingwa wa Ulaya. Ilikuwa nafasi ya kipee kupiga nalo picha. Kituo ambacho kinahaki ya kuonyesha michuano hiyo, cha ATN kilisema wao wamefurahi sana kwa bia ya Heineken, kuweza kufanikisha kombe hilo kutua katika nchi yetu. Wasema hii ni chanamoto kwa nchi yetu, kuweza kujitutumua na kufanya vizuri kwa wachezaji katika klabu zao ,ili wawezekuwa miongoni mwa wachezaji watakaonunuliwa  katika timu kubwa za Ulaya na kuiletea sifa nchi pamoja na maendeleo . (Mohamedi Mussa Gomesa, naye akiwa kwenye kombe akipiga picha, moja ya sharti la kombe hilo hutakiwi kuligusa)
Wafanya kazi wa Heineken, na wao walipigapicha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi