Ukiwa mtu wa balaa
basi kila saa unakuwa na balaa, Rapper Rick Rose anatafutwa na polisi wa mji wa
Miami iliaweze kujibu swali kutokana na kukutwa kwa mtu mmoja akiwa amekufa ndani ya gari lililoegeshwa kwenye bustani ya nyumba yake asubuhi ya leo.
Mtu huyo ambaye anakadiliwa kuwa umri wa miaka 39, alikuwa na majereaha ya risasi mwilini mwake ambayo inaonyesha wazi alishambuliwa.
Hata hivyo inaonyesha
mtu huyo hakuuwa eneo hilo, na wala The Big boss hakuwepo pande hizo wakati huo, lakini bado polisi wanajiuliza kwa iweje afike hapo? kama ilivyokutwa
Kazi kwake…….
Gari ambalo mtu huyo aliyeuwawa na risasi likiwa limeegeswa kwenye nyumba ya The Big Boss Rick Rose
|