Wednesday, February 22, 2012

Baby J ; Nimeshakuwa mkubwa

Mwanamuziki Jamila Abdalah kwa sasa ameshamaliza masomo yake, hivyo anajipanga zaidi kwaajili ya muziki kwakuwa mwanzo alikuwa akiisi kama vile alikuwa bado. Amesema kwa sasa anaona kama amekuwa mkubwa, hivyo hata akili yake imekomaa katika kutengeneza kazi bora na za kisasa. na kuthibitisha hilo amesema anatarajia kufanya kazi nzuri, zaidi ya mwanzona kazi yake ya kwanza ataifanya chini ya Producer Lil Gheto kutoka kundi la Off side Trick na studio yao ya Kinatu Record, iliyomtoa msanii Timburo. Wimbo huo amemshirikisha Ali Kiba, unaitwa Bwa Shee

No comments:

Post a Comment

https://www.facebook.com/gomesamohamedi